Kisaa Riders ni Ward SACCO kutoka Kisasi Ward, Kitui County. Ilianzishwa na Mhe. MCA Nicholas Muema Mutemi pamoja na County Government of Kitui.
Ofisi yetu iko Mbusyani, Kisasi, Kitui
Kisaa Riders ni chama cha bodaboda cha Kisasi Ward, Kitui County. Kilianzishwa na Mhe. MCA Nicholas Muema Mutemi na County Government of Kitui.
Ofisi Kuu: Mbusyani, Kisasi, Kitui County
Future Plan: Petrol Station pale Kisasi Market

Timu yetu ya ofisini Mbusyani, Kisasi.

Vijana hodari wa bodaboda kutoka Kisasi Ward.

Mpango wetu mkubwa ni kufungua Kituo cha Mafuta pale Kisasi Market.

Lipa michango kupitia namba kwenye banner hapo juu - 400200 / 1050897
Mbai Mwangangi
Chairperson - Kisaa Riders Kisasi Ward
Ofisi: Mbusyani, Kisasi, Kitui County